WAP Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

Uswazi-TANZANIA - Topics
Create Your Own App Store

* Uswazi-TANZANIA > Topics


Subject: Tanzania bila ukimwi inawezeka
Replies: 4 Views: 1155

fatmaswt 25.12.10 - 10:57am
kweli inawezekana kama wenyendowa wakiwa waaminifu na wapenzi piya kuwa waaminifu katika mahusiano yao tunaweza kuushinda ukimwi,tanzania bila ukimwi inawezekana *

ashraphy 31.12.10 - 01:21am
Sawa Fety ila nafikiri kwa mtazamo wa kawaida UAMINIFU ndo jambo muhimu litakalo fanikisha hili. *

chrissp 17.04.11 - 08:18am
NIKWELI TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.KAMA KILA MMOJA WAPO AKIWA MWAMINIFU KWA MWENZIE NA HATA KAMA HUNA MWENZI UKIWA *

sisili 26.12.11 - 07:13am
Haki inayotuangamiza!nchi za kiarabu wananyimwa haki ya kufanya ngono holela lakini wanapata haki ya kuishi kwa matumaini,ole wetu tunaodai haki ya kuwa na huru wa kufanya ngono tutakavyo!hatuwezi kupata haki iliyo kuu ya kuishi kwa matumaini!tanzania bila ukimwi itawezekana kwa kumuogopa mungu! *

ashraphy 8.05.12 - 01:46pm
Chukulia upo msituni mara simba mkubwa anakunyatia mkononi unasilaha hautajiami bali utamuomba MUNGU?.Tumia CONDOM!! *


* Reply
* Uswazi-TANZANIA Forum


Search:
topics replies


* Uswazi-TANZANIA

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store